Majadiliano ya mtumiaji:MAPFP
Mandhari
Karibu MAPFP katika Wikipedia ya Kiswahili! Ukiwa una swali, basi uliza tutakusaidia! Kazi njema...--Mwanaharakati (majadiliano) 04:31, 25 Machi 2008 (UTC)
- Ninaunga mkono karibu hii! Ukiwa na kipaji cha kutafsiri au kuandika makala kihusu habari za tiba ni vema sana kwa sababu tuna bado kasoro kubwa hapa. Utaone nimehariri makala ya MAP kidogo kwa sababu hasa kama ni Lugha gumu kidogo inasaidia kutaja kwa maneno machache lengo za makala mpya katika sentensi ya kwanza. Nimeongeza pia interwiki yaani marejeo kwa makala ya Kiingereza. Karibu! --User_talk:Kipala (majadiliano) 09:09, 25 Machi 2008 (UTC)