Majadiliano ya mtumiaji:Johnson Moga John

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

JOHNSON MOGA JOHN[hariri chanzo]

JOHNSON MOGA JOHN

NI kijana wa Mzee John Moga Machilu,(amezaliwa tarehe 24/09/1998) katika hospitali ya mkoa wa Mwanza Sekou toure.

Ni mtoto wa tano Kati ya watoto sita katika tumbo la mama yake Suzana Masele Ng'habi.

MAISHA YA SHULE

amesoma katika shule ya Shule ya msingi Lumala iliyopo Mwanza Tanzania tangu mwaka 2006-2012 na kufanikiwa kujiunga na elimu ya sekondari.

Elimu ya Sekondari

Amesoma katika shule ya sekondari Mwanza tangu mwaka 2013 mpaka 2016,ndipo alipohitimu masomo yake ya sekondari na kufanikiwa kuendelea na masomo yake ya Advanced School Education(kidato cha tano na sita)katika shule ya Pamba tangu mwaka 2017-2019.

Elimu ya chuo kikuu

Hivi sasa ni Muhitimu wa chuo kikuu akiwa na Shahada ya Sheria .