Majadiliano ya mtumiaji:JITENI LUTAMBI

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

kwanini huyu mwalimu ameandikwa muhu? je umefuata vigezo vya kuanzisha makala? kama hutarekebisha makala itafutwa mara moja. (mchango huu uliandikwa na mtumiaji:Olimasy tarehe 19 Aprili 2019, saa 05:45)

Kila mtumiaji yuko huru kujitambulisha kwenye ukurasa wake (kwenye "userspace", SI KATIKA MAKALA) jinsi anavyoona; isipokuwa hatukubali matangazo ya kibiashara, ya kisiasa, mahubiri au kukashifu wengine).Kipala (majadiliano) 06:27, 19 Aprili 2019 (UTC)[jibu]