Majadiliano ya kigezo:Wikipedia kwa lugha nyingine

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikipedia kwa lugha nyingine

Nimeongeza orodha ya lugha zenye makala mingi - ziko 25 sasa. Naona afadhali kutoa sentensi kuhusu lugha zenye makala zaidi na 10,000 kwa sababu orodha ya interwiki kwenye ukurasa wa mwanzo hauonyeshi lugha hizi zote. Yakikubalika naomba msaada wa mkabidhi aweke ukurasa mpya mahali pake. Lloffiwr (majadiliano) 11:07, 25 Mei 2009 (UTC)[jibu]