Majadiliano ya kigezo:Kata za Wilaya ya Mbarali

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

KATA ZA WILAYA YA MBARALI[hariri chanzo]

Kwa nini katika orodha ya kata za Mbarali baadhi ya kata hazipo? mfano kata za Miyombweni na Isisi hazipo! kwani kata hizo hazijakidhi vigezo vya kutangazwa kuwa kata? Ni vigezo gani vya msingi huzingatiwa kabla ya vijiji kadhaa kuunda kata moja? WADAU NAOMBA KUELIMISHWA. Makeresia Pawa Jibubu. LYAHAMILEEEEE

Mpendwa unauliza swali la maana. Hali halisi hatujamaliza kusahihisha makala za kata na wilaya na hasa kutunga makala kwa kata zote mpya. Kama una muda na nafasi nitafurahi kukusaidia kucahngia hapo. Kipala (majadiliano) 07:39, 4 Januari 2015 (UTC)[jibu]