Majadiliano ya kigezo:Infobox Television Soap Opera
Mandhari
Haya ni Majadiliano kwa ajili ya kuboresha kigezo ya Infobox Television Soap Opera. | |||
---|---|---|---|
|
Hii kigezo Infobox Television Soap Opera ipo katika eneo la Wikipedia:Mradi wa Vigezo, a collaborative effort to better organize, document and display all vigezo kwenye Wikipedia. Iwapo utapenda kushiriki, tafadhali tembelea ukurasa wa mradi, ambapo unaweza kujiunga na majadiliano na utazame orodha ya kazi zilizo wazi. |
Masaada wa kuswahilisha baadhi ya maelezo katika vichwa vya habari
[hariri chanzo]Kuna baadhi ya maelezo yananishinda Kuswahilisha, yaani namna yalivyo sipati taswira nzuri. Maneno hayo ni kama ifuatavyo:
- Alternative titles MAJINA BADALA
- Creator - IMETUNGWA NA
- Head writer - MWANDISHI MKUU
- Channel - Kiswahili fasaha sielewi kabisaa PROGRAMU AU KITUO (yaani nchi nyingi huwa na vituo vya TV mbalimbali kwa mfano TZ kuna TVT, RTD, kituo cha Mengi sijui jina lake n.k.)
Naomba nisaidiwe kutafsiri kwa Kiswahili, hapa-hapa. Nitashukuru zaidi kama maandishi yataandikwa ndani ya template husika badala ya kuandikwa hapa! Ukiona muda hautokutosha kufanya hivyo basi nitafsirie hapa tu kisha nitayaamisha katika ukurasa wake wa template.--Mwanaharakati (majadiliano) 09:31, 12 Aprili 2008 (UTC)