Majadiliano ya kigezo:BD

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Hapo awali wakati naanza kuiunda template hii, nilishindwa kubadilisha mfumo wa kutaja mwana "waliofariki" kisha mwaka! Ila tangu nianze kuunda hizi template za Single na Albamu, najiona nimekuwa najiamini kupita sana na ujenzi wa template. Mwanzoni nilikuwa mwoga tu katika kubadilisha-badilisha viungo vya kuwezesha kitu kikae katika Uswahili. Nilichofanya ni kuandika mwanzo: |Waliofariki {{{}}{{{2}}}. Wakati mwanzo ilikuwa: |{{{2}}} Waliofariki {{{}}}. Basi hivyo ndivyo ilivyokuwa! Nashukuru pia kwa kunipa pindi la ujenzi wa template. Nilianza na mwigizaji baadaye filamu na kilichoendelea ni.... Ahksante sana...--Mwanaharakati (majadiliano) 12:00, 18 Juni 2008 (UTC)[reply]

Kumbe tayari! Nilimwomba mwanzilishaji wa templeti hii asaidie... Atashangaa. --Kipala (majadiliano) 18:26, 18 Juni 2008 (UTC)[reply]