Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya kigezo:Agano Jipya

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Naona kimetengenezwa kigezo kingine kama hiki. Kumbe kilikuwepo na bado kipo! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:47, 25 Septemba 2010 (UTC)[jibu]

Naona hii sawa unapojadili vitabu vya AJ pekee. Yaani kuitazama kando ni sawa tu inasaidia kuangalia kitabu kingine haraka. Ila tu pale ambako Biblia kwa jumla inajadiliwa inasaidia zaidi kuwa na kielekezo kwa vitabu vyote na hapo ni afadhali chini ya maandishi maana yake kando itakuwa ndefu mno. Kipala (majadiliano) 14:49, 25 Septemba 2010 (UTC)[jibu]