Majadiliano ya jamii:Teknolojia ya Kiafrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Tahajia sahihi ingekuwa Teknolojia ya Kiafrika. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:47, 18 Septemba 2014 (UTC)

Hamisha mzee wangu. Mbona ni jambo la kawaida sana? Chukua hatua!--MwanaharakatiLonga 08:38, 18 Septemba 2014 (UTC)
Nilishindwa! Ndiyo maana nimeomba msaada... Pia nilikuwa nimekuta mara tatu kurasa juu ya waigizaji wa Marekani waliokwishakufa, lakini template inaingiza "jamii:Watu walio hai". Rekebisha na hilo, tafadhali. Amani kwa wote! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:34, 18 Septemba 2014 (UTC)
Kuhusu waigizaji waliokufa, nitajie majina yao au makala zao nazo nitazirekebisha! Kuhusu kubadili - ni suala la kuhamisha jamii tu! Ngoja niangalie...--MwanaharakatiLonga 12:38, 18 Septemba 2014 (UTC)