Majadiliano ya Wikipedia:Matukio ya hivi karibuni

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wilaya ya Ulanga tayari ishakuwa na kata zake mzee wangu! Tazama kigezo hapo chini:

Kata za Wilaya ya Ulanga - Mkoa wa Morogoro - Tanzania

Chilombola | Euga | Ilonga | Iragua | Isongo | Ketaketa | Kichangani | Lukande | Lupiro | Mahenge Mjini | Mawasiliano | Mbuga | Milola | Minepa | Msogezi | Mwaya | Nawenge | Ruaha | Sali | Uponera | Vigoi


Bado Mvomero na Morogoro Mjini!--Mwanaharakati (Longa) 07:23, 4 Februari 2009 (UTC)[jibu]

Mvomero na Morogoro Mjini Imefanyika..--Mwanaharakati (Longa) 07:00, 5 Februari 2009 (UTC)[jibu]

Kata zote za Arusha Imefanyika.--Mwanaharakati (Longa) 14:36, 9 Februari 2009 (UTC)[jibu]

Imefanyika. Ikiwa sambamba kabisa na masahihisho yake!--Mwanaharakati (Longa) 07:11, 10 Februari 2009 (UTC)[jibu]

Imefanyika.--Mwanaharakati (Longa) 14:03, 11 Februari 2009 (UTC)[jibu]