Majadiliano:Zeruzeru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Makala hiyo imeandikwa kama insha, siyo kama makala ya kamusi elezo. Ibadilishwe kufuata mfumo wa makala za wikipedia vizuri zaidi. --Baba Tabita (majadiliano) 12:36, 5 Februari 2010 (UTC)

ndivyo. maalbino ni magonjwa ya ngozi, kwa hivyo tuielezee kama magonjwa. wikipedia iwe kamusi ambayo inafundisha kuhusu maoni ya maarifa, na isiambie hadithi ya mtu yeyote barabarani. kwa sasa inaonekana hivi! wasomeni makala hiyo ya kiingereza, mtaona jinsi la kuandika katika wikipedia.--141.48.176.230 12:53, 17 Julai 2013 (UTC)