Majadiliano:Wilaya ya Wanging'ombe
Mandhari
Mwezi wa Machi 2012, makala ya Wilaya ya Wanging'ombe ilianzishwa kwa kuandikwa hivi:
- WILAYA MPYA YA WANGING'OMBE IMELETA UTATA MKUBWA.
- TANGAZO LA SERIKALI LINAKINZANA NA HALI HALISI. WILAYA 19 ZIMETANGAZWA IKIWEMO NA WANGING'OMBE LAKINI KATAIKA ORODHA YA MAKAO MAKUU INATAJWA WILAYA YA IGWACHANYA YENYE MAKAO YAKE WANGING'OMBE. JE, TUMEPEWA WILAYA IPI YAANI IGWACHANYA AU WANGING'OMBE?
- NAOMBA IREKEBISHWE ISOMEKE HIVI: Wanging'ombe(Wanging'ombe)IKIMAANISHA WILAYA YA WANGNG'OMBE NA MAKAO MAKUU WANGING'OMBE au wilaya ya Wanging'ombe namakao yake Igwachanya yaani WANGING'OMBE(WANGING'OMBE)
- BY ALIMWIMIKE SAHWI.
- DIWANI KATA MJIMWEMA MAKAMBAKO