Majadiliano:Wilaya ya Tarime
Mandhari
Haya ni Majadiliano kwa ajili ya kuboresha makala ya Wilaya ya Tarime. | |||
---|---|---|---|
|
|
Hii ni makala ya Wilaya ya Tarime ipo katika eneo la Wikipedia:Mradi wa Tanzania, juhudi za pamoja katika kuboresha maeneo ya Tanzania kwenye Wikipedia. Iwapo utapenda kushiriki, tafadhali tembelea ukurasa wa mradi, ambapo unaweza kujiunga na majadiliano na utazame orodha ya kazi zilizo wazi. |
Nani anajua ni kata zipi zilizoingia katika wilaya mpya ya Rorya? Maana nikiangalia habari za Rorya magazetini naona majina ya miji mitatu Shirati, Utegi na Randa. Lakini majaina haya hayapo katika orodha ya kata ya sensa 2002 tulipochukua majina ya kata zote. --Kipala (majadiliano) 16:34, 30 Januari 2009 (UTC)
HISIA MBAYA KAMA HIZI
Mimi binafsi ni mkazi wa Mara,ingawa kwa sasa nipo dar es salaam kimasomo,napenda tushirikiane katika mjadala huu ya kuwa; nikwa nini watu wengi hasa wanaotoka nje ya wilaya ya tarime huwachukulia wenyeji wa wilaya ya tarime ya kuwa ni watu wasio na utu? hivi ni kweli ya kuwa wakazi wa tarime ni katili kiasi hicho? ni kweli ya kuwa wanapaswa kuogopwa kiasi hicho?
tujadiliane jamani