Majadiliano:Wamonaki wafiadini wa Konstantinopoli

Page contents not supported in other languages.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nimejaribu kugundua ni akina nani. Je ni hao? https://catholicsaints.info/martyrs-of-constantinople-8-february/ Kama ni hao, walikuwa wenyeji, hawakutumwa; barua walipata wapi? Ingesaidia kama tunaona vyanzo vinavyoeleweka kirahisi zaidi. Kipala (majadiliano) 21:22, 2 Februari 2021 (UTC)Reply[jibu]

Asante kwa kufuatilia. Chanzo kifupi cha habari hiyo ni Roman Martyrology. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:29, 3 Februari 2021 (UTC)Reply[jibu]
Kumbe unatumia kitabu; labda hii itafaa pia, ingawa lugha haieleweki na wote? https://liturgico.chiesacattolica.it/wp-content/uploads/sites/8/2017/09/21/Martirologio-Romano.pdf Kipala (majadiliano) 12:01, 3 Februari 2021 (UTC)Reply[jibu]