Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Wamarangu

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Wamarangu ni mada muhimu lakini sentensi hizi a) hazina habari yoyote kuhusu Wamarangu na b) hazilingan na wikipedia:NPOV. Isipobadilishwa kabisa ifutwe. Kipala (majadiliano) 18:25, 15 Julai 2011 (UTC)Reply

Tena balaa lake si dogo. Anataja hawa na kabila lingine. Dah! Jamaa ana hatari kwelikweli. Eh, nimependa sana NPOV... Halafu labda iwe "Mtazamo wa kutopendelea upande wowote". Kulingana na NEUTRAL. Ah, hata hivyo, ni wazo ambalo si la msingi saaana! Tuendelee na huyu bwana.--MwanaharakatiLonga 03:46, 16 Julai 2011 (UTC)Reply