Majadiliano:Wafinisia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Napenda kuuliza ili niwe sawa na ninavyofahamu je, Wafoinike ndiyo wale wa famili ya inayojiita "the babylon brotherhood'

Hakuna "babylon brotherhood" nje ya maandiko na ndoto za mwandishi David Icke. Lakini Wafinisia ni kundi la kihistoria, walikuwa watu wa kweli katika historia. Kipala (majadiliano) 18:43, 2 Mei 2012 (UTC)