"Pikonaviridi": Neno hili ni kweli au kosa? Maana ya jina la kilatini / Kiingereza ni PICO (dogo) - RNA - virusi. Kwa hiyo iwe pico-rna-virusi au rna virusi ndogo ?
Ngoja kwanza. Hii ni "virusi vya polio". Lakini nilivyo-tazama makala ya Kiingereza inasema: Poliovirus na Wikipedia karibuni 7 zinatumia jina la Kiingereza au jina la umbo kamili. Kulingana na jina la Kiingereza, basi inatakiwa iwe "kirusi cha polio" ikiwa tunataka Kuswahilisha. Unaonaje?--MwanaharakatiLonga13:09, 13 Novemba 2010 (UTC)[jibu]