Majadiliano:Vipodozi

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maana ya vipodozi ni tofauti, si hayo mapambo. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:57, 13 Februari 2018 (UTC)[jibu]

Neno kipodozi linatokana na neno poda na kitenzi kupodoa. Si vito!!! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:46, 10 Aprili 2018 (UTC)[jibu]

Naona ukosoaji wako ni sahihi kabisa. Linganisha matumizi ya neno katika matini inayoweza kuwa rasmi hapa http://www.manyandahealthy.com/2015/07/hii-ndio-orodha-ya-vipodozi.html "Tfda inapenda kuwafahamisha watengenezaji, waagizaji, wauzaji na wananchi kwa ujumla kuwa, kwa mujibu wa kifungu cha 88 (a) cha sharia ya chakula, dawa na vipodozi sura 219, inakatazwa kutengeneza, kuuza au kusambaza vipodozi vyenye viambato (ingredient) vyenye sumu ambavyo huleta athari kwa mtumiaji."
Kamusi ya Kiingereza-Kiswahili: cosmetic adj -a kipodozi. n (usul. pi) kipodozi. ~ ian n mtaalamu wa vipodozi Kipala (majadiliano) 20:53, 10 Aprili 2018 (UTC)[jibu]