Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Vatikani

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hakuna nchi dogo zaidi. Shir--Kipala (majadiliano) 10:45, 8 Februari 2009 (UTC)ika ya SMOM si nchi. --Kipala (majadiliano) 20:14, 7 Februari 2009 (UTC)[jibu]

Mpendwa, SMOM ina uhusiano wa kibalozi na nchi 100 na ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa (Observer). --Riccardo Riccioni (majadiliano) 20:35, 7 Februari 2009 (UTC)[jibu]

Sawa kabisa; SMOM ni kile kinachoitwa labda "nafsi ya kisheria ya kimataifa" (sovereign subject of international law) kwa hiyo inalingana na Msalaba Mwekundu lakini si nchi wala dola. Nasoma ya kwamba pia Papa mwenyewe bali na nchi ya Vatikani ni "nafsi ya kisheria ya kimataifa". Ila tu hii lugha ya kisheria ni gumu kodogo. --Kipala (majadiliano) 10:45, 8 Februari 2009 (UTC)[jibu]