Majadiliano:Uwanja wa michezo wa Mashahidi wa Pentekoste

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jina, tafsiri, vyanzo[hariri chanzo]

  1. Hapa amuru: ama "Stade des Martyrs" (kifupi kama Kiingereza) au "Uwanja wa michezo wa Mashahidi" lakini msichezee vile kama hapa. Lemma irudiwe katika nafasi ya kwanza; kama ni jina la kigeni tafsiri inafuata kwa mabano.
  2. Msimwage google-translate! jinsi inavyoonekana kabisa hapa " Nukuu inahitajika | tarehe = Machi 2019 ". Hii unapata ukifungua en:edit source na kumwaga kila kitu katika google translate. Unapata pia Kiswahili kibaya kama "Mnamo 1997, uwanja huo ulipewa jina tena la lang | fr | "Stade des Martyrs de la Pentecôte" ikiwa ni kumbukumbu ya mawaziri wanne waliosafishwa na Mobutu Sese Seko na kunyongwa katika tovuti hiyo tarehe 2 Juni 1966: Évariste Kimba, Jérôme Anany, Emmanuel Bamba, na Alexandre Mahamba.Nukuu inahitajika | tarehe = Machi 2019."
  3. Ushauri: kama huwezi kuacha googl translate, uifungue katika ukurasa wa pekee uitumie kama msaada LAKINI KAM;WE KOPI-PASTE maana utasahau baadaye kusafisha yote. Ukiiandika mwenyewe utatambua zaidi kwamba lugha ni takataka utasahihisha mwenyewe.
  4. Infobox na vyanzo, picha: Mara nyingi kuna picha na pia tanbihi /footnotes katika infobox. USIJAROIBU kutafsiri infob ox, lakini chukua habari na picha!
  5. Picha: Bofya picha, kopi jina na uiweke katika makala ya wikipedia ("ingiza faili").
  6. Marejeo, tanbihi: kama ukurasa wa enwiki inaonyesha chini References / footnotes: bofya link, kopi URL, ingiza kama <ref> kwenye makala ya sw. Ukiona "External links": Bofya "edit source", kopi yote na kumwaga kwenye swwiki, kichwa cha habari ni "Viungo vya nje".

Kipala (majadiliano) 12:52, 11 Juni 2021 (UTC)[jibu]