Majadiliano:Uwanja wa michezo wa Kadinali Malula

Page contents not supported in other languages.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tahajia[hariri chanzo]

Makala inayoitwa "Uwanja wa michezo wa Cardinal Malula" aiwezi kuanza "Stade Kadinali Malula". Stade = uwanja wa michezo. Tena sentensi "Ilitajwa hapo awali kuwa tarehe Mobutu Sese Seko ilichukua mamlaka" si Kiswahili. Waangalie infox ya Kiingereza, utaoona zamani iliitwa "24 Novembre", hapa ni jibu la fumbo lililopüo sasa. Kwa hiyo andika "Iliitwa zamani "UWanja wa 24 Novemba kutokana na tarehe tarehe Mobutu Sese Seko alipochukua mamlaka." Kipala (majadiliano) 12:19, 11 Juni 2021 (UTC)Reply[jibu]