Majadiliano:Ushonaji

Page contents not supported in other languages.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala hii inahusu ushonaji kweli au hasa ni kuhusu ufumaji? Picha inaonyesha mfumaji badala ya mshonaji; tena kiungo cha lugha ya Kiingereza (na lugha nyingine) kinarejea kwa "Weaving", siyo "Sewing". Naomba jambo hilo lifanyiwe kazi. --Baba Tabita (majadiliano) 11:59, 31 Machi 2016 (UTC)Reply[jibu]