Majadiliano:Usanisinuru
Mandhari
Tahajia mbaya
[hariri chanzo]Tahajia ya istilahi hii si mzuri, ni "usanidinuru" (pia usanidimwanga). Neno hili linatokanana na kusanidi, yaani "to make, manufacture". ChriKo (majadiliano) 16:40, 27 Desemba 2018 (UTC)
- Kumbe. Nilifuata KAST inayosema
- KAST: Photosynthesis usanisinuru
- Sasa KKS E-Sw ina Synthesis n usanisi. Synthesize vt sanisi; unganisha (maneno). Synthetical adj 1 -a usarsi, synthetic chemistry kemia sanisi.
- lakini pia Photo (pref) -synthesis n usanidinuru
- Ninavyoona KKS-E-Sw haina msimamo hapa. Maoni yako ina maana, ila tu: je tutafute maoni mengine kabla ya kubadilisha kila kitu? Kipala (majadiliano) 21:52, 27 Desemba 2018 (UTC)
- Hmm, inaonekana kama kuna mchanganyiko. Wengine wanasema -sanidi, wengine wanasema -sanisi. Glosbe inaonyesha yote mbili. Ukweli ni wapi au yote mbili ni sawa? ChriKo (majadiliano) 07:07, 28 Desemba 2018 (UTC)
- Labda Google inaweza kukata shauri? Usanisinuru lina matokeo 8510, usanidimwanga 1930, usanidinuru 691, usanisimwanga 0. Je? ChriKo (majadiliano) 07:25, 28 Desemba 2018 (UTC)
- Google haisaidii hapa. Wakati mwingine ni nzuri kutambua kawaida. Lakini hapa inaakisisha tu chaguo letu kwenye wikipedia. Maana pale tunapoingiza msamiati utasambazwa, kama ni nzuri au la. Kipala (majadiliano) 10:32, 29 Desemba 2018 (UTC)
- Hiyo ni kweli bila shaka, lakini sasa, tutaamuaje? Sijali kuacha usanisinuru kama kichwa cha makala hiyo na kuongeza usanidimwanga kama kisawe. ChriKo (majadiliano) 15:34, 29 Desemba 2018 (UTC)
- Namuunga mkono ChriKo. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:12, 30 Desemba 2018 (UTC)