Majadiliano:Ukaragushi
Mandhari
Sioni jina hilo katika kamusi mbalimbali. Labda mtunzi alifikiria "karagosi", lakini neno hilo lina maana tofauti. Ingekuwa "katuni", lakini kwa maana tofauti na kibonzo. Mnasemaje? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:26, 29 Oktoba 2018 (UTC)
- Nimefikwa na mtanzinko! Labda angetupa chanzo cha neno hili linatoka katika kamusi gani. Si jambo zuri sana kuweka maneno yetu wenyewe hata kama ni kamusi huru! Tafsiri ni maneno mawili ya Kiingereza lakini hapa limekuja moja. Animated na cartoon!--Muddyb Mwanaharakati Longa 06:07, 14 Juni 2021 (UTC)