Majadiliano:Uchumi
kuunganisha makala manne[hariri chanzo]
Bahati mbaya, makala hiyo imefutwa na tafsiri za shindano la 2009/2010 mara tatu:
Sasa itakuwa lazima kuunganisha makala hayo manne, ile ya kabla ya shindano (ambayo ilikuwa na jamii na interwiki zilizofutwa) na zile tatu za shindano. Poleni na kazi! --Baba Tabita (majadiliano) 12:15, 2 Februari 2010 (UTC)