Majadiliano:Toi

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mwanasesere ndiyo jina sahihi kabisa.. Hili hapa, hapana!--MwanaharakatiLonga 08:39, 23 Juni 2015 (UTC) [jibu]

Asante kwa ushauri. Sema kweli hizi picha nne kila moja ni mwanasesere?

Kipala (majadiliano) 10:28, 23 Juni 2015 (UTC)[jibu]

Kwa tafsiri ya jumla, ndiyo. Neno lina asili ya Kizaramo.. Mwana-achezee! Kipala bwana.. hahaha--MwanaharakatiLonga 13:30, 23 Juni 2015 (UTC)[jibu]
Wazo langu la mwisho. Kwa vile lugha ya "toy" tushaiswahilisha katika Kiswahili cha sasa ni "toi" hivyohivyo - tena tunaviita hadi kwa wingi wake "vitoi" ni kheri iende kwa jina hilo kuliko majina hayo yote mawili.--MwanaharakatiLonga 14:42, 23 Juni 2015 (UTC)[jibu]
Kwa hiyo iwe Kitoi-vitoi? Au toi - vitoi?Kipala (majadiliano) 20:21, 23 Juni 2015 (UTC)[jibu]
Makala iwe toi (kwenye mabano kichezeo', mwanasesere na mengineyo). Halafu redirects ziwe "kitoi", "vitoi" na kadhalika. Unaonaje?--MwanaharakatiLonga 05:36, 24 Juni 2015 (UTC)[jibu]