Majadiliano:Tendo la ndoa
Mandhari
Katika jamii yetu kumekuwa na mahusiyano ya kimapenzi yanayovunjika kila siku na kwa tafiti zangu inaonesha kwamba chanjo cha mahusiano mengi kuvunjika ni wanaume. Je, unadhani ni kitu gani ama ni kwanini wanaume ndio wanaokuwa chanzo cha kuvnjika kwa mahusiano mengi na je, nini ushauri wako kwa dad zetu wanaokumbana na tatizo hili?
Lemma
[hariri chanzo]Lemma au jina "Tendo la ndoa" ni istilahi ya kikanisa. Nikipitilia kamusi naona "ngono, mtombo; mtombano, mlalano". Naona ingekuwa afadhali kutumia neno lisilotegemea uzoefu wa jamii fulani. Kipala (majadiliano) 07:31, 15 Oktoba 2021 (UTC)
- Naona si istilahi ya kikanisa tu. Ni namna ya kawaida ya kuzungumzia jambo nyeti. Mbele ya watu wengi na wa heshima kutamka neno ngono kunaleta ukakasi. Zaidi tena mtombano n.k. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:37, 15 Oktoba 2021 (UTC)
- Mlalano vipi? Kipala (majadiliano) 08:01, 15 Oktoba 2021 (UTC)
- Umelipata wapi? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:49, 15 Oktoba 2021 (UTC)
- Mlalano vipi? Kipala (majadiliano) 08:01, 15 Oktoba 2021 (UTC)