Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Tanzania Tech

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nina mashaka kuhusu mada. Kwanza lemma "Tanzania Tech" ni tofauti na link inayofunguliwa "Tech Platform". Halafu naona dalili kwamba makala ni jaribio la mhariri kujitangaza (linganisha mtumiaji:Tech Platform ). Sioni dalili ya umaarufu (link ya pekee inayodai tovuti ilijadiliwa imekufa, na inaleta IP ya mwenyewe). Halafu links zinaelekea tovuti mbili tofauti: https://www.tanzaniatech.one/ na https://techplatform6.blogspot.com/. Ile ya pili inajaa nafasi ya kubofya "play" na "download" bila kuonyesha inahusu nini. Hii ni hazari. Kipala (majadiliano) 22:05, 11 Januari 2022 (UTC)[jibu]