Majadiliano:Tanganyika

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala hii inatofautisha maana za Tanganyika lakini bahati mbaya mahali ambapo imerejea makala ya Tanzania nayo makala ya "Tanzania" inarejea makala hii ya "Tanganyika" tena. Maana yake hakuna makala kuhusu Tangayika wakati wa ukoloni wa Waingereza (1920-61) wala wakati wa uhuru kabla ya muungano (1961-64). Tufanyeje? --Oliver Stegen 18:12, 19 Januari 2007 (UTC)[jibu]

Mimi naona tuipe hadhi Tanganyika nchi ya zamani - kisha tuseme hivi: "Ukitaka matumuzi mengine ya Tanganyika - tazama Tanganyika (maaana).".. Hii sio sahihi kabisa. #SamahaniLakini--MwanaharakatiLonga 09:38, 29 Januari 2016 (UTC)[jibu]
Muddy, nakubali! Kipala (majadiliano) 19:25, 29 Januari 2016 (UTC)[jibu]