Majadiliano:Suzie Ungerleider

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala inapaswa kufutwa au kusahihishwa sana[hariri chanzo]

Habari, baada ya kuona mchango huu napaswa kuipendekeza kwa ufutaji. Kwanza unaleta makala ambayo haieleweki kwa nini mwimbaji huyu atajwe katika wikipedia (hujatafsiri habari yoyote inayoeleza umuhimu au umaarufu wa mtu huyu), pili umejaribu kusahihisha tafsiri ya kompyuta lakini kwa namna isiyoeleweka kabisa. Matokeo haikubaliki. Je muziki mbadala ni kitu gani?? "uingereza Colombia" ni kitu gani?? Tena "Marekani-Kanada" ni nchi gani?? Najua unachojaribu kusema maana nimeangalia makala ya enwiki (hapo umesahau kuweka interwiki) lakini tokeo haifai kuwepo katika wikipedia hii. Kipala (majadiliano) 23:10, 9 Aprili 2023 (UTC)[jibu]