Majadiliano:Somangira

Page contents not supported in other languages.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Je, jina ni Samangira au Somangira? Wikipedia ya Kiswahili inaandika la kwanza, wikipedia ya Kiingereza inaandika la pili. Ukigoogle, yote mawili yanapatikana sawasawa. --Baba Tabita (majadiliano) 10:27, 25 Juni 2010 (UTC)Reply[[[:Kigezo:JINSIA:]]]

Ukiachia mbali kugoogle na kutazama kwenye Kiingereza - binafsi ungependekeza jina gani?--MwanaharakatiLonga 11:46, 25 Juni 2010 (UTC)Reply[[[:Kigezo:JINSIA:]]]
Sioni kama pendekezo langu liamue swali hilo. Je, waishio huko wanapaitaje ndilo swali. Bwana Muddy, sio upo karibu na kata hiyo? Kweli ungeweza kutuambia. Sema tu :) --Baba Tabita (majadiliano) 14:14, 25 Juni 2010 (UTC)Reply[[[:Kigezo:JINSIA:]]]
Si uongo. Nitawauliza moja ya marafiki zangu wanaoishi maeneo hayo. Ni jambo la taratibu.--MwanaharakatiLonga 14:27, 25 Juni 2010 (UTC)Reply[[[:Kigezo:JINSIA:]]]