Majadiliano:Soko la watumwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kichwa hakijitoshelezi kuelezea soko la utumwa. Zaidi imejikita Utumwa wa ZENJIBAA pekee ilhali jina lilitakiwa lielezee kwa kina soko hilo katika mawanda ya kidunia. Ipitiwe tena upya!--Muddyb Mwanaharakati Longa 17:47, 25 Desemba 2020 (UTC) Reply[reply]