Majadiliano:Shirika la Reli Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Salaam. Ndugu, huku kwetu tunaita Shirika la Reli Tanzania.. Na si "ya"... Uzito wa jambo katika kutamka ndiyo huipa hadhi nomino husika. Hapa "la" ndiyo mwake na si ya. Wako mtiifu, Bonge a.k.a--MwanaharakatiLonga 07:30, 30 Mei 2014 (UTC)

Ahsante, sahihisho tayari Kipala (majadiliano) 08:13, 30 Mei 2014 (UTC)
Haya, ninashukuru kwa kusikiza wito! Pamoja sana.--MwanaharakatiLonga 14:11, 30 Mei 2014 (UTC)