Majadiliano:Shaykh 'Abdullaah Swaalih Al-Farsy

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

bin adam...nafahamu ni kutokana na nabii adam suala Nini maana ya adam

Kopi-paste[hariri chanzo]

Makala hii inajitambulisha kuwa kopi-paste kutoka gazeti hali ambayo ni marufuku kwenye wikipedia. Bila shaka huyu mzee anastahili makala lakini jinsi ilivyo heri ifutwe. Kipala (majadiliano) 10:48, 28 Aprili 2016 (UTC)[jibu]

Imeboreshwa! Imefanyika.--MwanaharakatiLonga 10:53, 15 Juni 2016 (UTC)[jibu]