Majadiliano:Senene
Mandhari
Chakula au mdudu?
[hariri chanzo]Senene ni nini: chakula au mdudu? Na jina hili ni sahihi kweli? Nilifikiri kwamba jina sahihi ni "nsenene" au hili ni jina la mdudu (nsenene)? ChriKo (majadiliano) 21:42, 6 Machi 2017 (UTC)
- KKK inasema ni wadudu wanaolika. Nsenene sijawahi kuliona katika vitabu vya Kiswahili. Labda ni jina la kilugha. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:44, 7 Machi 2017 (UTC)
- Nakubali Kiswahili ni senen kwa mdudu. Nsenene ni Kiganda, kiasili neno lilelile. Nafikiri wakati zinafika kwenye sahani zinaitwa hivihivi, na mwanzilishaji wa makala alikuwa na fikra za chakula tun. Naona sawa kama lemma inaendelezwa kumtaja mdudu, kwa kuingiza matumizi yake kama chakula. Kipala (majadiliano) 17:01, 7 Machi 2017 (UTC)
- Sawasawa, nimefahamu sasa. Nitabadilisha makala hii. ChriKo (majadiliano) 20:41, 7 Machi 2017 (UTC)
- Hata KK21 ina ufafanuzi huohuo wa KKK. Nimeuliza Mhaya na jibu ni kwamba kwa lugha yao wanasema "nsenene". Huku Tanzania ndio wenyewe kwa kitoweo hicho! Kwa heshima yao, mimi pia nawala mara kadhaa kwa mwaka... --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:00, 8 Machi 2017 (UTC)