Majadiliano:Saumu

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nyongeza za Mtumiaji:Njia ya saada haziboreshi makala halafu ni kopi-paste kutoka tovuti nyingine (mfano [1], [2]) ambayo ni marufuku kwetu. Kipala (majadiliano) 13:04, 19 Septemba 2018 (UTC)[jibu]