Majadiliano:Sanamu ya Uhuru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Sanamu ina au lina??[hariri chanzo]

Sijawahi kuona masanamu mengi ni sanamu nyingi sivyo? Halafu ingekuwa sanamu inayosimama si linalosimama. Vipi? --Kipala (majadiliano) 14:03, 11 Machi 2009 (UTC)

Umm, yakiwa mengi na makubwa yanaitwa masanamu! Kwa sababu ni kubwa sana, basi sanamu linasimama kwa urefu wa.. Au sanamu linaurefu wa futi kadhaa... Sijui. Mimi ni Mswahili tu na sijasomea lugha! Sawazisha ukiona si sahihi!--!Mwanaharakati (Longa) 16:03, 11 Machi 2009 (UTC)
Nifanyeje?? Kama wewe Mswahili unasema na kuonyesha dalili za uhakika basi. Kamusi zangu zinasema tofauti lakini si kamusi zinazosoma makala zetu ni watu. --Kipala (majadiliano) 20:39, 11 Machi 2009 (UTC)