Majadiliano:Riksho
Mandhari
Si riksho? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:18, 21 Machi 2018 (UTC)
- Inawezekana. KKS inatumia umbo hili.Kipala (majadiliano) 13:41, 21 Machi 2018 (UTC)
Risha haifanani na baisikeli ya magurudumu matatu maana asili ni magurudumu mawili
[hariri chanzo]Mwanzilishaji wa makala aliandika ya kwamba riksha inafanana na tricycle. Hii haifai kwa ufafanuzi: Kiasili ilikuwa gari la maguruduu mawili lililovutwa na mtu. Ila tu baadaye tangu kupatikana kwa riksha ya baisikeli kuna magurudumu matatu. Kipala (majadiliano) 17:53, 21 Machi 2018 (UTC)