Majadiliano:Rhine Kaskazini-Westfalia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ihamishwe?[hariri chanzo]

Je si afadhali tukihamisha makala kwenda Rhine Kaskazini - Westfalia? Linganisha makala ya Ujerumani na orodha ya majimbo mle. Yaani jina lenyewe ni "Nordrhein-Westfalen" na jina la Kiingereza ni tafsiri tu. Nakubali kuweka jina la Kiingereza kama umbo la kuelekeza kwenda jina la Kiswahili. Mnaonaje? --Kipala (majadiliano) 19:06, 4 Desemba 2008 (UTC)

Mimi, Mzee wangu sijui lolote kuhusiana na jina hiliFace-sad.svg Nimeweka tu, kama jinsi linavyoonekana kutoka huko Wikipedia kwa Kiingereza! Ni bora tuweke kwa Kiswahili na wala hakuna haja ya ku-redirect. Tuipe jina la Kiswahili. Hamisha tu!--Mwanaharakati (Longa) 05:13, 5 Desemba 2008 (UTC)