Majadiliano:Reli ya abiria ya Dar es Salaam

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tafsiri mbaya ya kompyuta[hariri chanzo]

Hakuna lengo kupunguza safari ndani ya Dar es Salaam bali kurahisisha usafiri! Na mengine yanayopatikana ukitumia google translate bila kuwasha bongo. Je, jina la Mwakyembe kweli linatumiwa?? "Mtandao" uko wapi kama ni matumizi ya njia mbili za reli pekee zenye treni chache ? Kipala (majadiliano) 13:27, 16 Agosti 2021 (UTC)[jibu]