Majadiliano:Ramadhan M. Nyembe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Futa?[hariri chanzo]

Inawezekana ya kwamba makala hii ni kweli kuhusu mwandishi anayestahili kutajwa katika wikipedia. Lakini hakuna ushuhuda wowote unaweza kufuatiliwa, mfano kutaja jina la kitabu, kampuni ya mchapishaji, mwaka wa kutolewa n.k. Pia kuna matini isiyo na maana yoyote (mfano majina ya marafiki). Haionekani kutokana na makala kama huyu ni kweli mtu aliyepata kiwango fulani ya umaarufu (aliwahi kutajwa katika gazeti au jarida au kitabu fulani?). Pamona na hayo matumizi ya HERUFI KUBWA hayalingani na utaratibu wa wikipedia. Kama hakuna masahihisho tunapaswa kufuta mchango huu. Kipala (majadiliano) 13:28, 25 Agosti 2018 (UTC)

Hawa wanahitaji kuwaangalia polepole. Kuna baadhi ninawafahamu, tangu niamue kuwa mwandishi wa riwaya jumla. Ngoja niwachungulie mmoja halafu nione ninafanyaje.--Muddyb Mwanaharakati Longa 18:39, 25 Agosti 2018 (UTC)