Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Rais wa Afrika Kusini

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miezi 10 iliyopita by Said Mfaume in topic Mkanganyiko

Kazi kwelikweli. Nimeona hiyo kushoto ofisi! Kumbe, inaonekana jamaa hajui Kiswahili kabisa. Kuna kazi kubwa ya kusahihisha suala zima la kushoto ofisi! Nitajaribu!--MwanaharakatiLonga 07:00, 31 Oktoba 2011 (UTC)Reply

Mkanganyiko

[hariri chanzo]

Makala hii imekewea kiungo kwenda lugha nyingine ikirejea ile ya Rais wa Afrika Kusini bila kutaja wale wa zamani. Lakini humu imetaja wote. Wazungu na Waafrika. Ninaiboresha ibaki ya Waafrika kisha nitaunda nyingine ya Wazungu ili kutofautisha kati ya Rais wa nchi na Rais wa nchi kiserikali. Said Mfaume (majadiliano) 08:07, 16 Februari 2025 (UTC)Reply