Majadiliano:Polikarpo Mtakatifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

InterWiki katika makala husika[hariri chanzo]

Bwana Oliver, huyu Mtakatifu hapatikani katika Wikipedia zingine? Nikiangalia katika en:wiki napata kama kitu sawa hivi. Hebu angalia hii:

Saint Polycarp of Smyrna (ca. 69 – ca. 155) was a second century bishop of Smyrna.

Na hata ukiangalia pembeni yake utakuta makala hiii inapatikana katika Wikipedia zingine nyingi tu. Sasa siwezi kutoa uamuzi wowote kwa kuwa sijui nini kinaendelea juu ya uhandishi wa Watakatifu hawa!! Labda uangalie tena, ukiona ni kweli wanahitaji Interwiki basi ziwekwe!!!--Mwanaharakati (majadiliano) 15:33, 27 Juni 2008 (UTC)

Ni sawa kabisa. Unisamehe nikishindwa kuweka viungo moja kwa moja. Mara nyingi nasubiri akaunti za kikaragosi zifanye kazi. Mara nyingine naweka kiungo cha Kiingereza tu. Naomba univumilie. Pia ujisikie huru kuingiza kiungo wewe mwenyewe ukikuta nimekosa kukiingiza. Wasalaam! --Baba Tabita (majadiliano) 16:42, 29 Juni 2008 (UTC)