Majadiliano:Plutoni
Mandhari
Kwa nini sehemu nyingine zinataja urani? Si plutoni? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:53, 18 Machi 2020 (UTC)
- Mara ya kwanza "urani" ilikuwa kosa, niemsahihisha, asante. Sehemu nyingine ni sawa maana plutoni inazalishwa kwa kutumia urani kama dutu asilia. Kipala (majadiliano) 07:20, 18 Machi 2020 (UTC)