Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Pijini na krioli

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kopi-paste?

[hariri chanzo]

Nimefanya jaribio kuweka maneno kutoka makala katika google nikaona yanapatikana hapa: https://www.academia.edu/9370568/LUGHA_ZA_PIJINI_LUGHA_ZA_KIRIOLI_LUGHA_ZA_TAIFA_NA_LUGHA_RASMI.

Kwa hiyo kuna uwezekano matini yote au sehemu zimefanyiwa kopi tu. Inewezekana ya kwamba mtumiaji:William Lusige ni mwandishi yeye yule wa makala katika academia.edu. Kama ni hivi, labda si kosa la hakimiliki. Sijui tufanyeje? Kipala (majadiliano) 07:56, 7 Desemba 2016 (UTC)[jibu]

Angalao turejee chanzo cha dondoo hizo. --Baba Tabita (majadiliano) 09:42, 7 Desemba 2016 (UTC)[jibu]