Majadiliano:Pawaga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Pawaga si kata ni tarafa. Kwa kawaida hatutaji hapa tarafa maana hatuna vyanzo vya uhakika; vitengo vinavyotajwa katika vyanzo kama sensa na orodha ya misimbo ya posta ni kata. Kati ya majina mengine naona

  • Idodi ni kata (51219),
  • Ipwasi ni kitongojoi katika kijiji cha Nyamahana , kata ya Mlowa 51208
  • Makuka ni kijiji cha kata ya Izazi 51217

Sioni makala hii itatusaidia ilhali mchangiaji alikosa habari nyingi (kata zipi ni sehemu za tarafa hii?) Kipala (majadiliano) 19:00, 13 Desemba 2019 (UTC)