Majadiliano:Orodha ya makabila ya Tanzania
Mandhari
Nimesoma orodha yenu ya Makabila ya Tanzania. Lakini kama nimeona vizuri sijaona kabila la Wameru (Varwa) kwenye orodha (labda ipo?). Kama halipo je Wameru si kabila au ni makosa ya uchapaji? Kwa ufahamu wangu Wameru ni kabila linalojitambua na kutambuliwa. Au mmeliweka kwenye upotoshaji wa kwamba ni kabila la Wamasai? au Waarusha (hili pia halipo).
Wamanyema
[hariri chanzo]Je kabila la wamanyema asilimia kubwa ni waislamu au wakistro? Maulid Bin Swaleh (majadiliano) 10:53, 28 Julai 2021 (UTC)
- Wengi Waislamu. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:58, 28 Julai 2021 (UTC)