Majadiliano:Orodha ya kimataifa ya magonjwa na matatizo ya afya

Page contents not supported in other languages.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mzee Kipala: eti tafsiri hiyo ni sawa? Labda: Uanishaji wa Kimataifa wa Magonjwa Yanayohusiana na Matatizo ya Afya kwa International Classification of Diseases and Related Health Problems? Sijui, ila tu mawazo!--MwanaharakatiLonga 09:59, 9 Novemba 2010 (UTC) Reply[jibu]

Sawasawa, wewe hapa Mswahili Mkuu. (ila tu: ni orodha bado; kwangu siku ya uchovu nimeona twende njia nyepesi lakini kama wewe unaona tuwape uainishaji basi wapate!) Kipala (majadiliano) 13:06, 9 Novemba 2010 (UTC)Reply[jibu]
Utaona nimeacha pendekezo kama lilivyo na nimeongezea tu maneno hayo ya juu ndani ya kichwa chenye maandishi yaliyokooza! Ahsante kwa kuitikia wito!--MwanaharakatiLonga 16:02, 9 Novemba 2010 (UTC)Reply[jibu]