Majadiliano:Ngono zembe
Mandhari
Salaam. Kiungo kwenda Wikipedia ya Kiingereza kinakinzana na maana ya makala hii. Zembe sio SAFE. Tafadhali tazama tena kwa umakini!--MwanaharakatiLonga 14:56, 12 Agosti 2014 (UTC)
- Ni kweli, lakini ukiandika "Unprotected sex" Wikidata inakuelekeza (redirect) kwenye "Safe sex". Mada ni ileile. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:12, 13 Agosti 2014 (UTC)