Majadiliano:Neno

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

He! Eti mofimu maanake nini? Naona maluweluwe mwenzenu!--Mwanaharakati (Longa) 17:07, 24 Novemba 2008 (UTC)[jibu]

Angalia mofimu; mambo haya yanatokana na orodha ile ya makala 1000 ambayo naendelea kushughulika. --Kipala (majadiliano) 20:56, 24 Novemba 2008 (UTC)[jibu]